Jiunge na Melbet Partners kwa urahisi uanze kujipatia kipato kupitia programu bora ya ushirika

Hongera, umejiunga na programu ya ushirika ya Melbet! Ni rahisi sana kuielewa. Hapa kuna mwongozo wa haraka wa kuhakikisha unaielewa kabisa.

Melbet

hatua ya 2 - kuweka tovuti

Je, ungependa kuongeza tovuti yako kwenye programu yetu ya ushirika? Basi bofya tu "Ongeza tovuti" kwenye menyu ya pembeni.

Kisha, ingiza kiungo cha tovuti yako, na utuambie lugha yake, na kategoria ya tovuti ni ipi. Rahisi sana, sivyo?

hatua ya 3 - ufikio wa nyenzo za promosheni

Melbet Partners inapendekeza kutumia michoro na maandishi rasmi tu ili kutangaza bidhaa zetu. Unaweza kuzipata kwa:

  • kuomba nyenzo kupitia timu yetu ya usaidizi,
  • kujiandikisha kwenye kurasa rasmi za mitandao ya kijamii za Melbet, au
  • kwenda kwenye sehemu ya nyenzo za Masoko katika ukurasa wa Nyenzo za Promo

Chagua muundo uupendao (k.m., bango), na uangalie nyenzo zinazopatikana.

Sasa una mabango na nyenzo nyingine za promo, nini kinachofuata?

hatua ya 5 - kuzalisha misimbo ya promo

Misimbo ya promo huwezesha wateja kupata bonasi zaidi wanapojisajili, jambo ambalo hufanya ofa yako ivutie zaidi hadhira yako.

Mipangilio katika sehemu ya Misimbo ya Promo ni rahisi. Chagua tu tovuti yako na jina unalotaka la msimbo wa promo. Jaribu kufanya liwe rahisi na linalokumbukika. Karibia tunamaliza, imebaki zana moja tu ya kuiangazia.

hatua ya 6 - kutoa pesa

Sasa, hebu tuangalie faida bora zaidi ya kufanya kazi na Melbet Partners. Ili kuomba kutoa fedha zako kwa mara ya kwanza, unahitaji kuwasiliana na msimamizi wako binafsi. Baada ya hapo, mchakato utafanywa kiotomatiki, na utapata pesa ulizojipatia kila wiki. Kiasi cha chini kabisa unachoweza kutoa ni $30/₽1500/₴750. Hongera! Sasa upo tayari kuanza kujipatia kipato kupitia Melbet Partners! Anza safari yako ya mafanikio sasa hivi na ujipatie kipato kwa kushirikiana na kampuni inayoongoza ya kuweka madau.

hatua ya 7 - ripoti

Takwimu za programu ya ushirika husasishwa kila saa, na kiasi cha kamisheni ya washirika hukokotolewa siku inayofuata. Kwenye ukurasa wako mkuu wa akaunti unaweza kuona baadhi ya takwimu za haraka, zikiwemo:

Kiasi kinachopatikana kwa ajili ya kutoa

Kamisheni ya jana

Mwezi wa sasa

Siku 30 zilizopita na jumla

Unaweza kuona takwimu za kina zaidi katika sehemu tofauti ya Ripoti:

Muhtasari mfupi - hapa unaweza kupata takwimu za jumla kwa muda uliowekwa. Unaweza pia kutoa ripoti za tovuti na nyenzo kibinafsi.

Utoaji pesa

Ili kupata malipo yako ya kwanza, unahitaji kuwasiliana na timu ya usaidizi ya programu ya ushirika. Baada ya hapo, malipo yatatumwa kiotomatiki. Kamisheni hulipwa mara moja kwa wiki (kamisheni ya wiki husika kuanzia Jumatatu hadi Jumapili italipwa Jumanne inayofuata), ilimradi tu kiasi kilichopo kipo juu ya kiwango cha utoaji fedha cha $30/₽1500/₴750.

Mawasiliano

Tutafurahi kukusaidia kujibu maswali yoyote ambayo unaweza kuwa nayo kuhusu programu yetu ya ushirika.